Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 7:52 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

52 Wakajibu, wakamwambia, Wewe nawe umetoka Galilaya? Tafuta, ukaone ya kuwa kutoka Galilaya hakutokea nabii.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

52 Nao wakamjibu, “Je, wewe pia umetoka Galilaya? Haya, kayachunguze Maandiko Matakatifu nawe utaona kwamba Galilaya hakutoki kamwe nabii!” [

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

52 Nao wakamjibu, “Je, wewe pia umetoka Galilaya? Haya, kayachunguze Maandiko Matakatifu nawe utaona kwamba Galilaya hakutoki kamwe nabii!” [

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

52 Nao wakamjibu, “Je, wewe pia umetoka Galilaya? Haya, kayachunguze Maandiko Matakatifu nawe utaona kwamba Galilaya hakutoki kamwe nabii!” [

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

52 Wakamjibu, “Je, wewe pia unatoka Galilaya? Chunguza nawe utaona kwamba hakuna nabii atokae Galilaya!” [

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

52 Wakamjibu, “Je, wewe pia unatoka Galilaya? Chunguza nawe utaona kwamba hakuna nabii atokae Galilaya!” [

Tazama sura Nakili

Yohana 7:52
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nathanaeli akamwambia, Chaweza kitu chema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.

Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake: na hayo ndiyo yanayonishuhudia:

Wengine walinena, Je! Kristo atoka Galilaya?

Wakaenda killa mtu nyumbani kwake:

Wakajibu, wakamwambia, Wewe ulizaliwa katika dhambi tupu, nawe unatufuudisha sisi? Wakamtoa nje.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo