Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 7:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

50 Akawaambia Nikodemo (ni yule aliyemwendea usiku, maana ni mmojawapo wao),

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

50 Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu. Basi, yeye akawaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

50 Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu. Basi, yeye akawaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

50 Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu. Basi, yeye akawaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

50 Ndipo Nikodemo, yule aliyekuwa amemwendea Isa siku moja usiku, na alikuwa mmoja wao, akauliza,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

50 Ndipo Nikodemo, yule aliyekuwa amemwendea Isa siku moja usiku, ambaye alikuwa mmoja wao akauliza,

Tazama sura Nakili

Yohana 7:50
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akaenda Nikodemo nae, yule aliyemwendea usiku hapo kwanza, akaleta machanganyiko ya manemane na uudi, yapata ratli mia.

Lakini makutano hayo wasioifahamu torati wamelaaniwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo