Yohana 7:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192149 Lakini makutano hayo wasioifahamu torati wamelaaniwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Lakini umati huu wa watu wasiojua Torati ya Musa, wamelaaniwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Lakini huu umati wa watu wasiojua Torati ya Musa, wamelaaniwa.” Tazama sura |