Yohana 7:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192147 Bassi Mafarisayo wakawajibu, Je! ninyi nanyi mmedanganyika? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Mafarisayo wakawauliza, “Je, nanyi pia mmedanganyika? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Mafarisayo wakawauliza, “Je, nanyi pia mmedanganyika? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Mafarisayo wakawauliza, “Je, nanyi pia mmedanganyika? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika? Tazama sura |