Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 7:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 Wale watumishi wakajibu, Hajanena kamwe mwana Adamu aliye yote kama huyu anavyonena.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Walinzi wakawajibu, “Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Walinzi wakawajibu, “Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Walinzi wakawajibu, “Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.”

Tazama sura Nakili

Yohana 7:46
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamshuhudia wote, wakayastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake: wakanena, Huyu siye Mwana wa Yusuf?

wakashangaa mno kwa mafundisho yake, kwa sababu neno lake lilikuwa na uweza.

Na kumbe! ananena waziwazi wala hawamwambii neno? Yumkini wakuhwa wanajua kwa hakika ya kuwa huyu ni Kristo!

Mafarisayo wakawasikia makutano wakinungʼunika hivi kwa khabari zake: bassi Mafarisayo na makuhani wakuu wakatuma watumishi illi wamkamate.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo