Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 7:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Bassi yakaingia matangukano kwa ajili yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Isa.

Tazama sura Nakili




Yohana 7:43
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mama yake, na mkwe na mkwe mtu:


Je! wadhani kwamba nimekuja niipe dunia amani? Nawaambieni, Sivyo, bali mafarakano.


Yakaingia tena matangukano katika Wayahudi, kwa ajili ya maneno haya.


Kukawa manungʼuniko mengi katika makutano kwa khabari zake; wengine wakisema, Yu mtu mwema; na wengine wakisema, Sivyo, bali anawadanganya makutano.


Bassi baadhi ya Mafarisayo wakanena, Mtu huyu hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakanena, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo?


Lakini jamii ya watu wa mjini wakagawanyikana: bawa walikuwa upande wa Wayahudi, na hawa upande wa Mitume.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo