Yohana 7:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Lakini huyu twamjua atokako, bali Masihi atakapokuja, hakuna ajuae atokako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu huyu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu huyu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu huyu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Tunafahamu huyu mtu anakotoka, lakini Al-Masihi atakapokuja, hakuna yeyote atakayejua atokako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Tunafahamu huyu mtu anakotoka, lakini Al-Masihi atakapokuja, hakuna yeyote atakayejua atokako.” Tazama sura |