Yohana 7:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192125 Bassi baadhi ya watu wa Yerusalemi wakanena, Huyu si yeye wanaemtafuta illi kumwua? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Baadhi ya watu wa Yerusalemu walisema, “Je, yule mtu wanayemtafuta wamuue si huyu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Baadhi ya watu wa Yerusalemu walisema, “Je, yule mtu wanayemtafuta wamuue si huyu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Baadhi ya watu wa Yerusalemu walisema, “Je, yule mtu wanayemtafuta wamuue si huyu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ndipo baadhi ya watu wa Yerusalemu wakawa wanasema, “Tazameni, huyu si yule mtu wanayetaka kumuua? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ndipo baadhi ya watu wa Yerusalemu wakawa wanasema, “Tazameni, huyu si yule mtu wanayetaka kumuua? Tazama sura |