Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 7:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Kwa sababu hii Musa aliwapa tohara, si kwamba yatoka kwa Musa bali kwa babu zenu: nanyi siku ya sabato humtahiri mtu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Mose aliwapeni ile desturi ya kutahiri. (Si kwamba desturi hiyo ilitoka kwa Mose, bali ilitoka kwa mababu). Sasa nyinyi humtahiri mtu hata siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Mose aliwapeni ile desturi ya kutahiri. (Si kwamba desturi hiyo ilitoka kwa Mose, bali ilitoka kwa mababu). Sasa nyinyi humtahiri mtu hata siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Mose aliwapeni ile desturi ya kutahiri. (Si kwamba desturi hiyo ilitoka kwa Mose, bali ilitoka kwa mababu). Sasa nyinyi humtahiri mtu hata siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Lakini kwa kuwa Musa aliwaamuru tohara (ingawa kwa kweli haikutoka kwa Musa bali kwa baba zetu wa zamani), mnamtahiri mtoto hata siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Lakini kwa kuwa Musa aliwaamuru tohara (ingawa kwa kweli haikutoka kwa Musa bali kwa baba zenu wakuu), mnamtahiri mtoto hata siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Yohana 7:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akampa agano la Tohara; bassi Ibrahimu akazaa Isaak, akamtahiri siku ya nane. Isaak akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa wale thenashara, wazee wetu.

Nisemayo ni haya; agano lililofanywa imara kwanza na Mungu, torati iliyotokea miaka aruba mia na thelathini baadae hailitangui, hatta kuibatilisha abadi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo