Yohana 7:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Yesu akajibu, akawaambia, Nalitenda kazi moja, nanyi nyote mnastaajabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Isa akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Isa akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu. Tazama sura |