Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 7:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Hatta ilipokuwa katikati ya siku kuu Yesu akapanda, akaingia hekalui akafundisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Sikukuu hiyo ilipofikia katikati, Yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Sikukuu hiyo ilipofikia katikati, Yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Sikukuu hiyo ilipofikia katikati, Yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Ilipokaribia katikati ya Sikukuu, Isa alipanda kwenda Hekaluni na kuanza kufundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Ilipokaribia katikati ya Sikukuu, Isa alipanda kwenda Hekaluni na kuanza kufundisha.

Tazama sura Nakili




Yohana 7:14
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akaingia ndani ya hekalu la Mungu, akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao waliokuwa wakiuza njiwa;


Saa ile Yesu akawaambia makutano, Je, mmetoka, mfano wa watu wafukuzao mnyangʼanyi mna panga na marungu, kunitwaa? Killa siku naliketi mbele zenu hekaluni, nikifundisha, wala hamkunikamata.


Akawa akifundisha killa siku hekaluni, makuhani wakuu na waandishi na wakubwa wa watu wakatafuta kumwangamiza,


Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu kwa wazi; mimi siku zote nalifundisha katika masunagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi siku zote; wala kwa siri sikusema neno.


Baada ya haya Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima: usitencle dhambi tena, jambo lililo baya zaidi lisije likakupata.


Na siku kuu ya Wayahudi, siku kuu ya vibanda, ilikuwa karibu.


Bassi Yesu akapaaza sauti yake hekaluni, akifundisha, akisema, Mimi mnanijua, na nitokako mnakujua; wala sikuja kwa naisi yangu, illa yeye aliyenipeleka ni wa kweli, msiyemjua ninyi.


Hatta siku ya mwisho, siku ile kubwa ya siku kuu, Yesu akasimama, akapaaza sauti yake, akinena, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe.


Hatta assubuhi ilipokucha akaingia tena hekaluni, watu wote wakamwendea: nae akaketi akawa akiwafundisha.


Maneno haya aliyasema Yesu akifundisha kakika hekalu, katika chumba cha hazina; wala hapana mtu aliyemkamata, kwa kuwa saa yake ilikuwa haijaja bado.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo