Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 7:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Bassi Wayahudi wakamtafuta katika siku kuu wakanena, Yuko wapi huyo?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wakimtafuta huko kwenye Sikukuu na kuulizana, “Yuko wapi huyu mtu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Wayahudi walikuwa wakimtafuta huko kwenye Sikukuu na kuulizana, “Yuko wapi huyu mtu?”

Tazama sura Nakili




Yohana 7:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi toka Yerusalemi wamwulize, Wewe u nani?


Bassi wakamtafuta Yesu, wakasemezana wao kwa wao, wakisimama katika hekalu, Mwaonaje? Haji kabisa siku kuu hii?


NA baada ya haya Yesu akawa akitembea katika Galilaya: maana hakutaka kutembea katika Yahudi, kwa sababu Wayahudi walikuwa wakitafuta kumwua.


Illakini hapana mtu aliyemtaja kwa wazi kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi.


Wayahudi wakastaajabu, wakinena, Amepataje huyo kujua elimu, nae hajasoma?


Wakamwambia, Yuko wapi mtu huyo? Akanena, Sijui.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo