Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 7:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Hatta ndugu zake walipokwisha kupanda, ndipo yeye nae akapanda kwenda kuishika siku kuu, si kwa wazi bali kana kwamba kwa siri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, Yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, Yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, Yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Lakini ndugu zake walipokwisha kuondoka kwenda kwenye Sikukuu, yeye pia alienda lakini kwa siri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Lakini ndugu zake walipokwisha kuondoka kwenda kwenye Sikukuu, yeye pia alikwenda lakini kwa siri.

Tazama sura Nakili




Yohana 7:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni, mimi nawatumeni kama kondoo kati ya mbwa wa mwitu: bassi mwe na busara kama nyoka, na msio na dhara kama hua.


Alipokuwa katika kusema na makutano, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wakitaka kusema nae.


Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.


Jamaa zake walipopata khabari wakatoka kwenda kumkamata: maana walinena, Amerukwa na akili.


Bassi Yesu hakutemhea tena kwa wazi kati ya Wayahudi, hali alitoka huko akaenda mahali karibu ya jangwa, hatta mji nitwao Efraim; akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.


Bassi ndugu lake wakamwambia, Ondoka bapa uende Yahudi, wanafunzi wako nao wapate kuzitazama kazi zako unazozifanya.


Maana hatta ndugu zake hawakumwamini.


Alipokwisha kuwaambia haya, akakaa katika Galilaya.


Hatta ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwana wake, amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sharia,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo