Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 6:71 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

71 Alimnena Yuda, mwana wa Simon Iskariote: maana huyu ndiye atakaemsaliti: nae ni mmoja wa wathenashara.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

71 Yesu alisema hayo juu ya Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti; maana huyu alikuwa ndiye atakayemsaliti, ingawa alikuwa mmoja wa wale kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

71 Yesu alisema hayo juu ya Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti; maana huyu alikuwa ndiye atakayemsaliti, ingawa alikuwa mmoja wa wale kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

71 Yesu alisema hayo juu ya Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti; maana huyu alikuwa ndiye atakayemsaliti, ingawa alikuwa mmoja wa wale kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

71 (Hapa alikuwa anasema kuhusu Yuda, mwana wa Simoni Iskariote. Ingawa alikuwa mmoja wa wale kumi na wawili, ndiye ambaye baadaye angemsaliti Isa.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

71 (Hapa alikuwa anasema juu ya Yuda, mwana wa Simoni Iskariote. Ingawa alikuwa mmoja wa wale kumi na wawili, ndiye ambaye baadaye angemsaliti Isa.)

Tazama sura Nakili




Yohana 6:71
19 Marejeleo ya Msalaba  

Na majina ya mitume thenashara ni haya: Wa kwanza Simon aliyekwitwa Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake;


Simon Kananayo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyemsaliti.


Yuda Iskariote, mmoja wa wathenashara, akaenda zake kwa makuhani wakuu, apate kumsaliti kwao.


Bassi Yuda Iskariote, mwana wa Simon, mmoja wa wanafunzi wake, aliye tayari kumsaliti, akanena,


Hatta wakati wa chakula cha jioni, Shetani alipokwisha kumtia Yuda, mwana wa Simon Iskariote, moyo wa kumsaliti,


Bassi Yesu akajibu, Ni mtu yule nitakaemtowelea tonge na kumpa. Akatowelea tonge, akampa Yuda, mwana wa Simon Iskariote.


Yesu nae akaitwa pamoja na wanafunzi wake arusini.


Tomaso, mmoja wa wathenashara aitwae Didumo, hakuwako pamoja nao alipokuja Yesu.


Lakini kuna wengine miongoni mwemi wasioamini. Maana Yesu alijua tangu mwanzo ni nani wasioamini na ni nani atakaenisaliti.


Yesu akawajibu, Je! sikuwachagua ninyi thenashara, na mmoja wenu ni Shetani?


mtu huyu alitwaliwa nanyi kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake taugu zamani, nanyi mkamsulibisha kwa mikono mibaya, mkamwua:


Kwa maana kuna watu wamejiingiza kwa siri, watu walioandikiwa zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufasiki, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo