Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 6:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Filipo akamjibu, Mikate ya dinari miateen haiwatoshi, killa mmoja apate kidogo tu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Filipo akamjibu, “Mikate ya fedha dinari 200 haiwatoshi watu hawa hata kama kila mmoja atapata kipande kidogo tu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Filipo akamjibu, “Mikate ya fedha dinari 200 haiwatoshi watu hawa hata kama kila mmoja atapata kipande kidogo tu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Filipo akamjibu, “Mikate ya fedha dinari 200 haiwatoshi watu hawa hata kama kila mmoja atapata kipande kidogo tu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili, hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.”

Tazama sura Nakili




Yohana 6:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Mtumishi yule akatoka, akamwona mmoja wa wajoli wake, aliyewiwa nae dinari mia; akamkamata, akamshika koo, akinena, Nilipe uwiwacho.


Akajibu, akawaambia, Wapeni ninyi chakula: Wakamwambia, Je! twende zetu tukanunue mikate ya dinari miateen tukawape kula?


Siku ya pili yake Yesu akataka kuondoka kwenda Galilaya, akamwona Filipo, akamwambia, Nifuate.


Nae Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mtu wa mji wa Andrea na Petro.


Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye aliyeandikiwa na Musa katika torati, na na manabii, Yesu, mwana wa Yusuf, mtu wa Nazareti


Nathanaeli akamwambia, Chaweza kitu chema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.


Nathanaeli akamwambia, Umepataje kunijua? Yesu akajibu, akamwambia, Kabla Filipo hajakuita, ulipokuwa chini ya mtini, nalikuona.


Mbona marhamu haya hayakuuzwa kwa dinari mia tatu, na kupewa maskini?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo