Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 6:64 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

64 Lakini kuna wengine miongoni mwemi wasioamini. Maana Yesu alijua tangu mwanzo ni nani wasioamini na ni nani atakaenisaliti.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

64 Hata hivyo, wako baadhi yenu wasioamini.” (Yesu alisema hivyo kwani alijua tangu mwanzo ni kina nani wasioamini, na pia ni nani atakayemsaliti).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

64 Hata hivyo, wako baadhi yenu wasioamini.” (Yesu alisema hivyo kwani alijua tangu mwanzo ni kina nani wasioamini, na pia ni nani atakayemsaliti).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

64 Hata hivyo, wako baadhi yenu wasioamini.” (Yesu alisema hivyo kwani alijua tangu mwanzo ni kina nani wasioamini, na pia ni nani atakayemsaliti).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

64 Lakini baadhi yenu hamwamini.” Kwa maana Isa alifahamu tangu mwanzo wale ambao hawangemwamini miongoni mwao na yule ambaye angemsaliti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

64 Lakini baadhi yenu hamwamini.” Kwa maana Isa alifahamu tangu mwanzo wale ambao hawangemwamini miongoni mwao na yule ambaye angemsaliti.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:64
20 Marejeleo ya Msalaba  

Simon Kananayo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyemsaliti.

Lakini ninyi hamwamini kwa sababu hammo katika kondoo zangu, kama nilivyowaambieni.

Bassi Yesu, akijua yote yatakayompata, akatokea, akawaambia, Mnamtafuta nani? Wakamjibu, Yesu Mnazareti.

Walakini nimewajua ninyi ya kuwa hamna upendo wa Mungu ndani yenu.

Lakini naliwaambieni ya kwamba mmeniona bila kuniamini.

Bassi watu wengi katika wanafunzi wake waliposikia haya, wakasema, Neno hili ni gumu, nani awezae kulisikia?

Yesu akajua nafsini mwake ya kuwa wanafunzi wake wanaliumigʼunikia neno hili, akawaambia, Neno hili linawachukiza?

Kwa ajili ya haya wengi katika wanafunzi wake wakarejea nyuma, wala hawakuandamana nae tena.

Akawaambia, Ninyi wa chini, mimi wa juu; ninyi wa ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu.

Nanyi hamkumjua; lakini mimi namjua, na nikisema ya kwamba simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi; lakini namjua na neno lake nalishika.

Kazi zake zote zimejulika na Mungu tangu mwanzo wa ulimwengu.

Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, illi awe mzaliwa wa kwanza katika ndugu wengi.

Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake; tena, killa alilajae jina la Bwana na aache uovu.

Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo