Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 6:59 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

59 Maneno haya aliyasema sunagogini, alipokuwa akifundisha huko Kapenaum.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

59 Yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule Kafarnaumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

59 Yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule Kafarnaumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

59 Yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule Kafarnaumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

59 Isa alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika sinagogi huko Kapernaumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

59 Isa alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika sinagogi huko Kapernaumu.

Tazama sura Nakili




Yohana 6:59
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Akashukia Kapernaum, mji wa Galilaya, akawa akifundisha siku ya sabato:


Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu kwa wazi; mimi siku zote nalifundisha katika masunagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi siku zote; wala kwa siri sikusema neno.


wakapanda chomboni wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaum. Na giza imekwisha kuwa, nae Yesu hajawafikia.


bassi makutano walipoona ya kuwa Yesu hakuwako huko wala wanafunzi wake, wenyewe wakaingla vyomboni, wakaenda Kapernaum wakimtafuta Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo