Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 6:54 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

54 Ailae nyama yangu na kuinywa damu yangu ana uzima wa milele; mimi nitamfufua siku ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

54 Anayekula mwili wangu na kunywa damu yangu anao uhai wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

54 Anayekula mwili wangu na kunywa damu yangu anao uhai wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

54 Anayekula mwili wangu na kunywa damu yangu anao uhai wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

54 Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

54 Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:54
12 Marejeleo ya Msalaba  

walakini ye yote atakaekunywa maji yale nitakayompa mimi, hataona kiu milele, bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujika hatta uzima wa milele.

Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hatta uzima wa milele, Mwana wa Adamu atakachowapeni: maana huyu ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu.

Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi ana uzima wa milele.

Kwa maima nyama yangu ni chakula cha kweli, na damu yangu ni kinywaji cha kweli,

Roho ndiyo itiayo uzima; mwili haufai kitu; maneno ninayowaambieni ni roho, tena ni uzima.

Nimesulibiwa pamoja na Kristo, illakini ni hayi; wala si mimi tena, bali Kristo yu hayi ndani yangu; na uhayi nilio nao sasa katika mwili, ninao katika imani ya Mwana wa Mungu aliyenipenda akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo