Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 6:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Bassi Yesu alipoinua macho yake akaona makutano mengi yanakuja kwake, akamwambia Filipo, Tununue wapi mikate, hawa wapate kula?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, Yesu alipotazama na kuona umati wa watu ukija kwake, alimwambia Filipo, “Tununue wapi mikate ili watu hawa wapate kula?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, Yesu alipotazama na kuona umati wa watu ukija kwake, alimwambia Filipo, “Tununue wapi mikate ili watu hawa wapate kula?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, Yesu alipotazama na kuona umati wa watu ukija kwake, alimwambia Filipo, “Tununue wapi mikate ili watu hawa wapate kula?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Isa alipotazama na kuona umati ule mkubwa wa watu wakimjia, akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ili watu hawa wale?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Isa alipotazama na kuuona ule umati mkubwa wa watu ukimjia, akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ili watu hawa wale?”

Tazama sura Nakili




Yohana 6:5
14 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wake wakamwambia, Tupate wapi mikate mingi hapa nyikani, hatta kushibisha makutano mengi namna hii?


Wakaenda zao chomboni, mahali pasipo watu, kwa faragha.


Wale mitume waliporudi wakamweleza mambo yote waliyoyatenda; akawachukua, akaenda zake kwa faragha mahali pasipo watu, karibu na mji uitwao Bethsaida.


Siku ya pili yake Yesu akataka kuondoka kwenda Galilaya, akamwona Filipo, akamwambia, Nifuate.


Nae Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mtu wa mji wa Andrea na Petro.


Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye aliyeandikiwa na Musa katika torati, na na manabii, Yesu, mwana wa Yusuf, mtu wa Nazareti


Nathanaeli akamwambia, Chaweza kitu chema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.


Nathanaeli akamwambia, Umepataje kunijua? Yesu akajibu, akamwambia, Kabla Filipo hajakuita, ulipokuwa chini ya mtini, nalikuona.


Hamsemi ninyi, Imebaki miezi mine bado, ndipo yaja mavuno? Nami nawaambieni, Inueni macho yenu, mkayatazame mashamba, ya kuwa yamekwisha kuwa meupe tayari kwa mavuno.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo