Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 6:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Bassi Yesu akajibu, akawaambia, Msinungʼunike ninyi kwa ninyi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Yesu akawaambia, “Acheni kunungunika nyinyi kwa nyinyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Yesu akawaambia, “Acheni kunungunika nyinyi kwa nyinyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Yesu akawaambia, “Acheni kunung'unika nyinyi kwa nyinyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Hivyo Isa akawaambia, “Acheni kunung’unikiana ninyi kwa ninyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Hivyo Isa akawaambia, “Acheni kunung’unikiana ninyi kwa ninyi.

Tazama sura Nakili




Yohana 6:43
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajua, akawaambia, Mbona mnabishana ninyi kwa ninyi, enyi wa imani haba, kwa sababu hamkuchukua mikate?


Wakafika Kapernaum: hatta alipokuwa nyumbani, akawauliza, Mlishindania nini njiani?


Yesu alifahamu ya kwamba walitaka kumwuliza akawaambia, Hili ndilo mnalotafuta ninyi kwa ninyi, ya kuwa nalisema, Bado kitambo nanyi hamnioni, na bado kitambo na mtaniona?


Wakanena, Huyu siye Yesu, mwana wa Yusuf, ambae twamjua baba yake na mama yake? Bassi, anenaje huyu, Nimeshuka kutoka mbinguni?


Hakuna mtu awezae kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka: nami nitamfufua siku ya mwisho.


Lakini kuna wengine miongoni mwemi wasioamini. Maana Yesu alijua tangu mwanzo ni nani wasioamini na ni nani atakaenisaliti.


Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo