Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 6:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Yesu akawaambia, Mimi ni mkate wa uzima; yeye ajae kwangu hataona njaa kabisa, nae aniaminiye hataona kiu kamwe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Yesu akawaambia, “Mimi ndimi mkate wa uhai. Anayekuja kwangu hataona njaa; anayeniamini hataona kiu kamwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Yesu akawaambia, “Mimi ndimi mkate wa uhai. Anayekuja kwangu hataona njaa; anayeniamini hataona kiu kamwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Yesu akawaambia, “Mimi ndimi mkate wa uhai. Anayekuja kwangu hataona njaa; anayeniamini hataona kiu kamwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Isa akawaambia, “Mimi ndimi mkate wa uzima. Yeye ajaye kwangu, hataona njaa kamwe na yeye aniaminiye, hataona kiu kamwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Isa akawaambia, “Mimi ndimi mkate wa uzima. Yeye ajaye kwangu, hataona njaa kamwe na yeye aniaminiye, hataona kiu kamwe.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:35
17 Marejeleo ya Msalaba  

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye mizigo nami nitawapumzisha.

Ole wenu ninyi mlioshiba: kwa sababu mtaona njaa. Ole wenu ninyi mnaocheka sasa: kwa sababu mtaomboleza na kulia.

Yule mwanamke akamwambia, Bwana, nipe maji hayo, nisione kiu wala nisije huku kuteka.

wala hamtaki kuja kwangu, mpate kuwa na uzima.

Yote anipayo Bwana itakuja kwangu; nae ajae kwangu sitamtupa nje kamwe.

Bassi Wayahudi wakamnungʼunikia, kwa sababu alisema, Mimi ni mkate ulioshuka kutoka mbinguni.

Akanena, Kwa sababu hii nimewaambia ya kwamba hapana mtu awezae kuja kwangu, isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.

Na Roho na Bibi arusi wasema, Njoo. Nae asikiae aseme, Njoo. Nae aliye na kiu, na aje: na apendae ayatwae maji ya uzima burre.

Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala hari iliyo yote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo