Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 6:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Wakamwambia, Unafanya ishara gani bassi illi tuone tukaamini? Unatenda kazi gani?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Hivyo wakamuuliza, “Utafanya ishara gani ya muujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Hivyo wakamuuliza, “Utafanya ishara gani ya muujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani?

Tazama sura Nakili




Yohana 6:30
22 Marejeleo ya Msalaba  

Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Nao waliosulibiwa pamoja nae wakamlaumu,


Wakatokea Mafarisayo wakaanza kuhujiana nae; wakitafuta kwake ishara itokayo mbinguni; wakimjaribu.


lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi, mpate kujua na kuamini ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.


Lakini ijapokuwa amefanya ishara kubwa namna hii mbele yao, hawakumwamini;


Bassi Wayahudi wakajibu wakamwambia, Ishara gani utuonyeshayo, iwapo unafanya haya?


Maana wanafunzi wake wamekwenda mjini wanunue chakula.


Bassi watu wale, walipoiona ishara aliyoifanya Yesu, wakasema, Huyu hakika ni nabii yule ajae ulimwenguni.


Makutano mengi wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.


Lakini naliwaambieni ya kwamba mmeniona bila kuniamini.


ukinyosha mkono wako kuponya: ishara na maajabu zifanyike kwa jina la mtumishi wako mtakatifu Yesu.


Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima;


Mungu nae akishuhudu pamoja nao kwa ishara na ajabu na nguvu za namna nyingi, na kwa karama za Roho Mtakatifu, kama alivyopenda mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo