Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 6:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 bassi makutano walipoona ya kuwa Yesu hakuwako huko wala wanafunzi wake, wenyewe wakaingla vyomboni, wakaenda Kapernaum wakimtafuta Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Mara wale watu wakatambua kwamba Isa hakuwa hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Mara wale watu wakatambua kwamba Isa hakuwepo hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Isa.

Tazama sura Nakili




Yohana 6:24
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na walipokwisha kuvuka, wakafika inchi ya Genesareti.


wakamwona, wakamwambia, Watu wote wanakutafuta.


Hatta walipokwisha kuvuka wakafika inchi ya Genesareti, wakatia nanga.


Yesu alipokuwa akirudi makutano wakamkaribisha, kwa maana watu wote walikuwa wakimngojea.


Yesu akamwambia, Bibi, unalilia nini? Unamtafuta nani? Yeye, akidhani ya kuwa ni mtunza bustani, akamwambia, Bwana, kama umemchukua wewe, niambie ulipomweka, nami nitamwondoa.


wakapanda chomboni wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaum. Na giza imekwisha kuwa, nae Yesu hajawafikia.


(lakini mashua nyingine zilikuja kutoka Tiberia karibu na pahali pale walipokula mikate, wakati Bwana aiiposhukuru);


Yesu akawajibu, akasema, Amin, amin, nawaambieni, Mnanitafuta, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate, mkashiba.


Maneno haya aliyasema sunagogini, alipokuwa akifundisha huko Kapenaum.


Bassi Wayahudi wakamtafuta katika siku kuu wakanena, Yuko wapi huyo?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo