Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 6:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Siku ya pili yake makutano waliosimama ngʼambu ya bahari wakaona ya kuwa hakuna mashua nyingine huko illa ile moja waliyoingia wanafunzi wake; tena ya kuwa Yesu hakuingia katika mashua ile pamoja na wanafunzi wake, bali wanafunzi wake walikwenda peke yao,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kesho yake umati wa watu wale waliobaki upande wa pili wa ziwa walitambua kwamba kulikuwa na mashua moja tu pale, na Yesu hakuingia katika mashua pamoja na wanafunzi wake, ila wanafunzi hao walikuwa wamekwenda zao peke yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kesho yake umati wa watu wale waliobaki upande wa pili wa ziwa walitambua kwamba kulikuwa na mashua moja tu pale, na Yesu hakuingia katika mashua pamoja na wanafunzi wake, ila wanafunzi hao walikuwa wamekwenda zao peke yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kesho yake umati wa watu wale waliobaki upande wa pili wa ziwa walitambua kwamba kulikuwa na mashua moja tu pale, na Yesu hakuingia katika mashua pamoja na wanafunzi wake, ila wanafunzi hao walikuwa wamekwenda zao peke yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Siku iliyofuata, wale watu waliokuwa wamebaki ng’ambo waliona kwamba palikuwa na mashua moja tu, na kwamba Isa hakuwa ameondoka pamoja na wanafunzi wake, ila walikuwa wameondoka peke yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Siku iliyofuata, wale watu waliokuwa wamebaki ng’ambo waliona kwamba palikuwepo na mashua moja tu na kwamba Isa hakuwa ameondoka pamoja na wanafunzi wake, ila walikuwa wameondoka peke yao.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:22
4 Marejeleo ya Msalaba  

Marra Yesu akawalazimisha wamifunzi wake wapande chomboni na kutangulia mbele yake kwenda ngʼambu, wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.

Marra akawashurutisha wanafunzi wake wapande chomboni, watangulie kwenda ngʼambu hatta Betsaida wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.

Makutano mengi wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo