Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 6:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Bassi wakataka kumpokea chomboni; na marra hiyo chombo kikaifikilia inchi waliyokuwa wakienda.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Basi wakataka kumchukua Yesu katika mashua; na mara mashua ikawasili nchi kavu walikokuwa wanakwenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Basi wakataka kumchukua Yesu katika mashua; na mara mashua ikawasili nchi kavu walikokuwa wanakwenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Basi wakataka kumchukua Yesu katika mashua; na mara mashua ikawasili nchi kavu walikokuwa wanakwenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Ndipo wakamkaribisha kwa furaha ndani ya mashua, na mara wakafika ufuoni walikokuwa wakienda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Ndipo wakamkaribisha kwa furaha ndani ya mashua, na mara wakafika ufuoni walikokuwa wakienda.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akapanda mle cbomboni walimo; npepo ukakoma; wakashangaa sana, kupita kiasi, wakastaajabu;

Nae akawaambia. Ni mimi, msiogope.

Siku ya pili yake makutano waliosimama ngʼambu ya bahari wakaona ya kuwa hakuna mashua nyingine huko illa ile moja waliyoingia wanafunzi wake; tena ya kuwa Yesu hakuingia katika mashua ile pamoja na wanafunzi wake, bali wanafunzi wake walikwenda peke yao,

Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo