Yohana 6:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Bassi wakavuta makasia kadiri ya stadio ishirini na tano au thelathini, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari, anakikaribia chombo: wakaogopa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wanafunzi walipokuwa wameenda mwendo wa maili tatu au nne, walimwona Isa akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne, walimwona Isa akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana. Tazama sura |