Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 6:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 wakapanda chomboni wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaum. Na giza imekwisha kuwa, nae Yesu hajawafikia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 wakapanda mashua ili wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa hajawafikia bado.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 wakapanda mashua ili wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa hajawafikia bado.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 wakapanda mashua ili wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa hajawafikia bado.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Isa alikuwa hajajumuika nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Isa alikuwa hajajumuika nao.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Marra akawashurutisha wanafunzi wake wapande chomboni, watangulie kwenda ngʼambu hatta Betsaida wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.

Baada ya haya akashuka hatta Kapernaum, yeye na mama yake na ndugu zake na wanafunzi wake: wakakaa huko siku chache.

Bassi akafika tena Kana ya Galilaya, hapo alipofanya maji kuwa divai. Na palikuwa na diwani mmoja, ana mwana hawezi Kapernaum.

Bahari ikaanza kuchafuka, upepo mwingi ukivuma.

Maneno haya aliyasema sunagogini, alipokuwa akifundisha huko Kapenaum.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo