Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 6:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Bassi Yesu, akitambua ya kuwa walitaka kuja kumchukua illi wamfanye mfalme, akajitenga, akaenda tena mlimani, yeye peke yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Yesu akajua kwamba watu walitaka kumchukua wamfanye mfalme, akaondoka tena, akaenda mlimani peke yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Yesu akajua kwamba watu walitaka kumchukua wamfanye mfalme, akaondoka tena, akaenda mlimani peke yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Yesu akajua kwamba watu walitaka kumchukua wamfanye mfalme, akaondoka tena, akaenda mlimani peke yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Isa akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Isa akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:15
14 Marejeleo ya Msalaba  

NAE akivaona makutano, akapanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake wakamjia;

Watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaaza sauti zao, wakinena, Utuokoe sasa; amebarikiwa ajae kwa jina la Bwana;

wakinena Amebarikiwa mfalme ajae kwa jina la Bwana, amani mbinguni, na utukufu palipo juu.

Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu, kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu: watumishi wangu wangalinipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi: lakini sasa ufalme wangu sio wa hapa.

Sipokei utukufu kwa wana Adamu.

Siku ya pili yake makutano waliosimama ngʼambu ya bahari wakaona ya kuwa hakuna mashua nyingine huko illa ile moja waliyoingia wanafunzi wake; tena ya kuwa Yesu hakuingia katika mashua ile pamoja na wanafunzi wake, bali wanafunzi wake walikwenda peke yao,

Yesu akapanda mlimani, akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.

Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo