Yohana 6:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Waliposhiba, akawaambia wanafunzi wake, Kusanyeni vipande vilivyobaki, kitu kisipotee. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Watu waliposhiba Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kusanyeni vipande vilivyobaki visipotee.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Watu waliposhiba Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kusanyeni vipande vilivyobaki visipotee.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Watu waliposhiba Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kusanyeni vipande vilivyobaki visipotee.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Watu wote walipokwisha kula na kushiba, akawaambia wanafunzi wake, “Kusanyeni vipande vilivyobaki vya ile mikate, kisipotee chochote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Watu wote walipokwisha kula na kushiba, akawaambia wanafunzi wake, “Kusanyeni vipande vilivyobaki vya ile mikate, kisipotee chochote.” Tazama sura |