Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 6:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Yesu akasema, Waketisheni watu. Palikuwako majani tele mahali pale. Bassi watu waume wakaketi, jumla yao wapata elfu tano.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yesu akasema, “Waketisheni watu.” Palikuwa na nyasi tele mahali hapo. Basi, watu wakaketi, jumla yapata wanaume 5,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yesu akasema, “Waketisheni watu.” Palikuwa na nyasi tele mahali hapo. Basi, watu wakaketi, jumla yapata wanaume 5,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yesu akasema, “Waketisheni watu.” Palikuwa na nyasi tele mahali hapo. Basi, watu wakaketi, jumla yapata wanaume 5,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Isa akasema, “Waketisheni watu chini.” Palikuwa na majani mengi katika eneo lile, nao watu wakaketi (palikuwa na wanaume wapatao elfu tano).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Isa akasema, “Waketisheni watu chini.” Palikuwa na majani mengi katika eneo lile, nao watu wakaketi. Palikuwa na wanaume wapatao 5,000.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:10
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliokula walikuwa wanaume wapata elfu tano, bila wanawake na watoto.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo