Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 6:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BAADA ya haya Yesu alikwenda zake ngʼambu ya bahari ya Galilaya, bahari ya Tiberia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au ziwa Tiberia).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au ziwa Tiberia).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au ziwa Tiberia).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya haya, Isa alienda ng’ambo ya Bahari ya Galilaya (ambayo pia huitwa Bahari ya Tiberia).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya haya, Isa alikwenda ng’ambo ya Bahari ya Galilaya, ambayo pia huitwa Bahari ya Tiberia.

Tazama sura Nakili




Yohana 6:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akapita huko, akafika kando ya bahari ya Galilaya; akapanda mlimani, akaketi huko.


Nae Yesu akitembea kando ya bahari ya Galilaya, akaona ndugu wawili, Simon aitwae Petro, na Andrea ndugu yake, wakitupa jarife baharini; maana walikuwa wavuvi.


IKAWA makutano walipomsonga, wakisikiliza neno la Mungu, yeye alikuwa akisimama kando ya ziwa la Genesareti:


BAADA ya haya Yesu alijionyesha tena kwa wanafunzi wake, penye bahari ya Tiberia; nae alijionyesha hivi.


(lakini mashua nyingine zilikuja kutoka Tiberia karibu na pahali pale walipokula mikate, wakati Bwana aiiposhukuru);


NA baada ya haya Yesu akawa akitembea katika Galilaya: maana hakutaka kutembea katika Yahudi, kwa sababu Wayahudi walikuwa wakitafuta kumwua.


Yeye mwenyewe alisema, Mimi ndiye. Bassi wakamwambia, Macho yako yalifumhuliwaje?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo