Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 5:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Marra yule mtu akawa mzima, akajitwika kitanda chake, akaenda. Bassi ilikuwa sabato siku ile.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Yohana 5:9
15 Marejeleo ya Msalaba  

marra wakamwambia khahari zake: akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawakhudumia.

Marra hiyo ukoma wake ukamwondoka, akatakasika.

Yesu akamwambia, Enenda zako, imani yako imekuponya. Marra akapata kuona tena; akafuata Yesu njiani.

Marra chemchemi ya damu yake ikakauka, akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.

Baada ya haya Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima: usitencle dhambi tena, jambo lililo baya zaidi lisije likakupata.

Bassi ikiwa mtu apashwa tohara siku ya sabato, torati ya Musa isije ikavunjika, mbona mnanikasirikia kwa sababu nalimfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya sabato?

Na ilikuwa sabato hapo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo