Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Yesu akamwambia, Simama, jitwike kitanda chako, ukaende.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Isa akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Isa akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako, uende.”

Tazama sura Nakili




Yohana 5:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini illi mjue ya kuwa Mwana wa Adamu yuna mamlaka katika dunia kuondoa dhambi, (amwambia yule mgonjwa wa kupooza) Ondoka, ujitwike kitanda chako, ukaende nyumbani kwako.


Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako ukaende nyumbani kwako.


Lakini mpate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu ana mamlaka duniani ya kuondoa dhambi (alimwambia yule mwenye kupooza), Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako ukaende nyumbani kwako.


Petro akamwambia, Ainea, Yesu Kristo akuponya: ondoka, ukatandike kitanda chako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo