Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Yesu alipomwona huyu amelala, akijua ya kuwa amekuwa hali hii siku nyingi, akamwambia, Wataka kuwa nizima?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Naye alipomwona huyo mtu amelala hapo na kujua kwamba alikuwa amekaa hapo kwa muda mrefu, akamwuliza, “Je, wataka kupona?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Naye alipomwona huyo mtu amelala hapo na kujua kwamba alikuwa amekaa hapo kwa muda mrefu, akamwuliza, “Je, wataka kupona?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Naye alipomwona huyo mtu amelala hapo na kujua kwamba alikuwa amekaa hapo kwa muda mrefu, akamwuliza, “Je, wataka kupona?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Isa alipomwona akiwa amelala hapo, na akijua amekuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu, akamwambia, “Je, wataka kuponywa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Isa alipomwona akiwa amelala hapo, naye akijua kuwa amekuwa hapo kwa muda mrefu, akamwambia, “Je, wataka kuponywa?”

Tazama sura Nakili




Yohana 5:6
9 Marejeleo ya Msalaba  

na alipomkaribia akamwuliza, Wataka nikufanyie nini? Akasema, Bwami, nipate kuona.


Akamwambia marra ya tatu, Simon wa Yohana, Wanipenda mimi? Petro akahuzunika kwa kuwa alimwambia marra ya tatu, Wanipenda mimi? Akamwambia, Bwana, wewe unajua yote; unajua ya kuwa nakupenda. Yesu amwambia, Lisha kondoo zangu.


Na huko palikuwa na mtu, amekuwa hawezi muda wa miaka thelathini na minane.


Yule mgonjwa akamjibu, Bwana, sina mtu wa kunitia birikani, maji yanapotibuliwa; bali wakati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu.


Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.


Kwa kuwa hatuna kuhani mkuu asiyeweza kuyachukua mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijuribiwa sawa sawa na sisi katika mambo yote, bila dhambi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo