Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Na huko palikuwa na mtu, amekuwa hawezi muda wa miaka thelathini na minane.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Mtu mmoja aliyekuwa ameugua kwa miaka thelathini na nane alikuwa hapo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Mtu mmoja alikuwako huko ambaye alikuwa ameugua kwa miaka thelathini na minane.

Tazama sura Nakili




Yohana 5:5
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwuliza baba yake, Tangu wakati gani amepatwa na haya? Akasema, Tangu utoto.


Na huyu, aliye binti Ibrahimu, amhae Shetani amemfunga miaka kumi na minane hii, haikupasa afunguliwe kifungo hiki siku ya sabato?


Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu tangu miaka thenashara, aliyegharimu vitu vyote alivyo navyo akawapa tabibu asipate kuponywa na mtu aliye yote,


Baada ya haya Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima: usitencle dhambi tena, jambo lililo baya zaidi lisije likakupata.


Kwa maana kuna wakati malaika hushuka akaiingia ile birika, akayatibua maji: bassi yeye aliyeingia kwanza baada ya maji kutibuliwa, akaponea ugonjwa wote uliokuwa umempata.


Yesu alipomwona huyu amelala, akijua ya kuwa amekuwa hali hii siku nyingi, akamwambia, Wataka kuwa nizima?


HATTA alipokuwa akipita akamwona nitu, kipofu tangu kuzaliwa.


lakiui jinsi aonavyo sasa, hatujui, na ni nani aliyemfumbua macho, hatujui; yeye ni mtu mzima; mwulizeni yeye mwenyewe, atajisemea.


Na huko Lustra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mama yake, ambae hajaenda kabisa.


Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mama yake alichukuliwa na watu, wakamweka killa siku katika mlango wa hekalu nitwao Mzuri, illi aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.


maana umri wake yule mtu aliyefanyiwa ishara hii ya kuponya ulipita miaka arubaini.


Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea mtu huyo amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo