Yohana 5:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192147 Illakini msipoyaamini maandiko yake, mtayaaminije maneno yangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Musa, mtaaminije ninayoyasema?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Musa, mtaaminije ninayoyasema?” Tazama sura |