Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 Kwa maana kama mngalimwamini Musa, mngeniamini mimi; maana yeye aliandika khahari zangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Kama kweli mngemwamini Mose, mngeniamini na mimi pia, maana Mose aliandika juu yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Kama kweli mngemwamini Mose, mngeniamini na mimi pia, maana Mose aliandika juu yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Kama kweli mngemwamini Mose, mngeniamini na mimi pia, maana Mose aliandika juu yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Kama mngemwamini Musa, mngeniamini na mimi, kwa maana aliandika habari zangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Kama mngelimwamini Musa, mngeliniamini na mimi kwa maana aliandika habari zangu.

Tazama sura Nakili




Yohana 5:46
21 Marejeleo ya Msalaba  

Akaanza toka Musa na manabii, akawafasiria katika maandiko yote mambo yaliyomkhusu yeye.


Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye aliyeandikiwa na Musa katika torati, na na manabii, Yesu, mwana wa Yusuf, mtu wa Nazareti


Illakini msipoyaamini maandiko yake, mtayaaminije maneno yangu?


Bassi nikiisha kuupata msaada utokao kwa Mungu nimesimama hatta leo hivi nikiwashuhudia wadogo kwa wakubwa, wala sisemi neno illa yale ambayo manabii na Musa waliyasema, kwamba yatakuwa;


Kwa maana Kristo ni mwisho wa sharia, illi killa aaminiye apate haki.


Maana mimi kwa sharia naliifia sharia illi nimwishie Mungu.


Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sharia, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa killa mtu asiodumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sharia, ayafanye.


Kristo alitukomboa na laana ya sharia, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu: maaua imeandikwa, Amelaaniwa killa mtu atuudikwae juu ya mti:


Na hivyo sharia imekuwa mwalimu wa kutuleta kwa Kristo, illi tufanyiziwe wema kwa imani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo