Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba: yuko anaewashitaki, yaani Musa, mnaemtumaini ninyi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye nyinyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye nyinyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye nyinyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 “Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba. Mshtaki wenu ni Musa, ambaye mmemwekea tumaini lenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 “Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba, mshtaki wenu ni Musa, ambaye mmemwekea tumaini lenu.

Tazama sura Nakili




Yohana 5:45
14 Marejeleo ya Msalaba  

Ibrahimu akasema, Wana Musa na manabii; wawasikilize wao.


Anikataae mimi, asiyekubali maneno yangu, anae amhukumuye: neno lile nililolisema, ndilo litakalomhukumu siku ya mwisho.


Aliyewapeni torati si Musa? wala hapana mmoja wenu aitendae torati. Mbona mnatafuta kuniua?


Nao, waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianza tangu wazee hatta wa mwisho; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke akisimama katikati.


Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sharia watapotea pasipo sharia, na wote waliokosa, wakiwa na sharia, watahukumiwa kwa sharia.


Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sharia, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa killa mtu asiodumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sharia, ayafanye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo