Yohana 5:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192133 Ninyi mlituma watu kwa Yohana, akaishuhudia kweli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 “Mlituma wajumbe kwa Yahya, naye akaishuhudia kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 “Mlituma wajumbe kwa Yahya, naye akashuhudia juu ya kweli. Tazama sura |