Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliofanya manyonge kwa ufufuo wa hukumu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 nao watafufuka: Wale waliotenda mema watafufuka na kuishi, na wale waliotenda maovu watafufuka na kuhukumiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 nao watafufuka: Wale waliotenda mema watafufuka na kuishi, na wale waliotenda maovu watafufuka na kuhukumiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 nao watafufuka: wale waliotenda mema watafufuka na kuishi, na wale waliotenda maovu watafufuka na kuhukumiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 nao watatoka makaburini. Wale waliotenda mema watafufuka wapate uzima, nao wale waliotenda maovu watafufuka ili wahukumiwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Nao watatoka nje, wale waliotenda mema watafufuka wapate uzima na wale waliotenda maovu, watafufuka wahukumiwe.

Tazama sura Nakili




Yohana 5:29
11 Marejeleo ya Msalaba  

kwa sababu hawana kitu cha kukulipa; maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki.


Nina tumaini kwa Mungu, na hatta hao nao wanalitazamia, ya kwamba kutakuwa ufufuo wa wafu wenye haki na wasio haki pia.


watende mema, wawe matajiri kwa kutenda mema, wawe tayari kutoa mali zao, washirikiane na wengine kwa moyo,


bali kuitazamia hukumu kwenye kutisha, na ukali wa moto ulio tayari kuwala wao wapingao.


Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana na watu; maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu.


Na aache mabaya, atende mema; Atafute amani, aifuate sana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo