Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Kwa sababu hiyo Wayahudi wakaanza kumwudhi Yesu, wakitaka kumwua, kwa kuwa alitenda haya siku ya sabato.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kwa vile Yesu alifanya jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi walianza kumdhulumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kwa vile Yesu alifanya jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi walianza kumdhulumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kwa vile Yesu alifanya jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi walianza kumdhulumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Kwa hiyo viongozi wa Wayahudi wakaanza kumsumbua Isa, kwa sababu alikuwa anafanya mambo kama hayo siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kwa hiyo Wayahudi wakaanza kumsumbua Isa, kwa sababu alikuwa anafanya mambo kama hayo siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili




Yohana 5:16
15 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako; akaunyosha, ukapona, nkawa mzima kama mkono wa pili.


marra wakaloka wale Mafarisayo, wakamfanyia shauri pamoja na Maherodiano jinsi ya kumwangamiza.


Akatenda hivyo. Mkono wake ukapona, ukawa mzima kama wa pili. Nao wakatekewa moyo: wakisemezana wao kwa wao, wamtendeje Yesu.


Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi toka Yerusalemi wamwulize, Wewe u nani?


Wakatafuta marra ya pili kumkamata: akatoka mikononi mwao.


Likumbukeni lile neno nililowaambieni, Mtumwa si mkubwa kuliko Bwana wake. Ikiwa waliniudhi mimi, watawaudhi ninyi nanyi: ikiwa walilishika neno langu, watalishika na lenu.


Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwambia yule aliyeponywa, Leo ni sabato, si halali kwako kujitwika kitanda chako.


Lakini yule aliyeponywa, hakujua ni nani; maana Yesu amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengi mahali pale.


Yule mtu akaenda zake, akawapasha Wayahudi khabari ya kwamba Yesu ndiye aliyemfanya kuwa mzima.


Yesu akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hatta sasa, nami ninatenda kazi.


Bassi kwa sababu hii Wayahudi wakazidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na haya alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.


Yesu akajibu, akawaambia, Nalitenda kazi moja, nanyi nyote mnastaajabu.


Bassi baadhi ya watu wa Yerusalemi wakanena, Huyu si yeye wanaemtafuta illi kumwua?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo