Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Yule mtu akaenda zake, akawapasha Wayahudi khabari ya kwamba Yesu ndiye aliyemfanya kuwa mzima.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Huyo mtu akaenda, akawaambia viongozi wa Wayahudi kwamba Yesu ndiye aliyemponya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Huyo mtu akaenda, akawaambia viongozi wa Wayahudi kwamba Yesu ndiye aliyemponya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Huyo mtu akaenda, akawaambia viongozi wa Wayahudi kwamba Yesu ndiye aliyemponya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Yule mtu akaenda, akawaambia wale viongozi wa Wayahudi kuwa ni Isa aliyemponya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Yule mtu akaenda, akawaambia wale Wayahudi kuwa ni Isa aliyemponya.

Tazama sura Nakili




Yohana 5:15
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nae akatoka, akaanza kukhubiri mengi, na kulitangaza lile neno, hatta Yesu asiweze tena kuingia mjini kwa wazi; bali alikuwa nje mabali pasipo watu; wakamwendea kutoka killa pahali.


Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi toka Yerusalemi wamwulize, Wewe u nani?


Njoni, nitazame mtu aliyeniambia mambo yote niliyoyatenda. Je! haimkini huyu kuwa ndiye Kristo?


Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwambia yule aliyeponywa, Leo ni sabato, si halali kwako kujitwika kitanda chako.


Bassi wakamwuliza, Yule mtu aliyekuambia, Jitwike kitanda chako ukaende, ni nani?


Kwa sababu hiyo Wayahudi wakaanza kumwudhi Yesu, wakitaka kumwua, kwa kuwa alitenda haya siku ya sabato.


Bassi kwa sababu hii Wayahudi wakazidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na haya alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.


Bassi Mafarisayo nao wakamwuliza tena jinsi alivyopata kuona. Akawaambia, Alitia tope juu ya macho yangu nikanawa, na sasa naona.


Bassi yule mtu akajibu akasema, Kwamba yeye m mwenye dhambi, sijui. Najua neno moja, mimi nalikuwa kipofu, na sasa naona.


Yule mtu akajibu akawaambia, Neno hili ni la ajabu, kwamba ninyi hamjui atokako, nae alinifumbua macho.


Wakajibu, wakamwambia, Wewe ulizaliwa katika dhambi tupu, nawe unatufuudisha sisi? Wakamtoa nje.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo