Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Baada ya haya Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima: usitencle dhambi tena, jambo lililo baya zaidi lisije likakupata.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Basi, baadaye Yesu alimkuta huyo aliyeponywa hekaluni, akamwambia, “Sasa umepona; usitende dhambi tena, usije ukapatwa na jambo baya zaidi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Basi, baadaye Yesu alimkuta huyo aliyeponywa hekaluni, akamwambia, “Sasa umepona; usitende dhambi tena, usije ukapatwa na jambo baya zaidi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Basi, baadaye Yesu alimkuta huyo aliyeponywa hekaluni, akamwambia, “Sasa umepona; usitende dhambi tena, usije ukapatwa na jambo baya zaidi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Baadaye Isa akamkuta yule mtu aliyemponya ndani ya Hekalu na kumwambia, “Tazama umeponywa. Usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo baya zaidi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Baadaye Isa akamkuta yule mtu aliyemponya ndani ya Hekalu na kumwambia, “Tazama umeponywa, usitende dhambi tena. La sivyo, lisije likakupata jambo baya zaidi.”

Tazama sura Nakili




Yohana 5:14
23 Marejeleo ya Msalaba  

Marra huenda, akachukua pamoja nae pepo wengine saba walio waovu kupita nafsi yake, nao huingia na kukaa humo; na mambo, ya mwisho ya mtu yule huwa mabaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kiovu.


Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, dhambi zako zimeondolewa.


Lakini yule aliyeponywa, hakujua ni nani; maana Yesu amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengi mahali pale.


Na huko palikuwa na mtu, amekuwa hawezi muda wa miaka thelathini na minane.


Akamwambia, Hapana Bwana. Yesu akamwambia, Nami sikuhukumu. Enenda, wala usitende dhambi tena.


Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda wayapendayo mataifa, kuenenda katika uasharati, ua tamaa, na ulevi, ua karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo