Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 5:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Lakini yule aliyeponywa, hakujua ni nani; maana Yesu amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengi mahali pale.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Lakini yeye hakumjua huyo mtu aliyemponya, maana Yesu alikuwa amekwisha ondoka mahali hapo, kwani palikuwa na umati mkubwa wa watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Lakini yeye hakumjua huyo mtu aliyemponya, maana Yesu alikuwa amekwisha ondoka mahali hapo, kwani palikuwa na umati mkubwa wa watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Lakini yeye hakumjua huyo mtu aliyemponya, maana Yesu alikuwa amekwisha ondoka mahali hapo, kwani palikuwa na umati mkubwa wa watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Basi yule mtu aliyeponywa hakufahamu ni nani aliyemponya, kwa sababu Isa alikuwa amepotea ndani ya umati ule wa watu waliokuwa hapo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Basi yule mtu aliyeponywa hakufahamu ni nani aliyemponya, kwa sababu Isa alikuwa amejiondoa katika ule umati wa watu uliokuwa hapo.

Tazama sura Nakili




Yohana 5:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua, akatoweka asionekane nao.


lakini yeye akapita katikati yao akaenda zake.


Yesu akamwambia, Nimekuwa pamoja nanyi siku hizi zote wala hukunijua, Filipo? Aliyeniona mimi, amemwona Baba; wasemaje wewe, Tuonyeshe Baba?


Bassi wakamwuliza, Yule mtu aliyekuambia, Jitwike kitanda chako ukaende, ni nani?


Baada ya haya Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima: usitencle dhambi tena, jambo lililo baya zaidi lisije likakupata.


Bassi wakatwaa mawe wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo