Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 5:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Bassi wakamwuliza, Yule mtu aliyekuambia, Jitwike kitanda chako ukaende, ni nani?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wakamuuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wakamuuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?”

Tazama sura Nakili

Yohana 5:12
6 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokwisha kuingia hekaluni, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakinena, Kwa mamlaka gani unafanya haya? Na nani aliyekupa mamlaka haya?

Akawajibu, Yeye aliyenifanya kuwa mzima, ndiye aliyeniambia, Jitwike kitanda chako, ukaende.

Lakini yule aliyeponywa, hakujua ni nani; maana Yesu amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengi mahali pale.

Kwa maana nawashuhudia kwamba wana wivu kwa ajili ya Mungu, lakini hauna msingi wa maarifa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo