Yohana 5:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Akawajibu, Yeye aliyenifanya kuwa mzima, ndiye aliyeniambia, Jitwike kitanda chako, ukaende. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Lakini yeye akawaambia, “Yule mtu aliyeniponya ndiye aliyeniambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Lakini yeye akawaambia, “Yule mtu aliyeniponya ndiye aliyeniambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Lakini yeye akawaambia, “Yule mtu aliyeniponya ndiye aliyeniambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’ ” Tazama sura |