Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 5:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BAADA ya haya palikuwa na siku kuu ya Wayahudi; Yesu akapanda kwenda Yerusalemi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya hayo kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi, naye Yesu akaenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya hayo kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi, naye Yesu akaenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya hayo kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi, naye Yesu akaenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya haya, kulikuwa na Sikukuu ya Wayahudi, naye Isa akapanda kwenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya haya, kulikuwa na Sikukuu ya Wayahudi, naye Isa akapanda kwenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Yohana 5:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.

Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu: Yesu akapanda hatta Yerusalemi.

Hatta ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwana wake, amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sharia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo