Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 4:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Akaja mwanamke wa Kisamaria kuteka maji. Yesu akamwambia, Nipe maji ninywe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Basi, mwanamke mmoja Msamaria akafika kuteka maji. Yesu akamwambia, “Nipatie maji ninywe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Basi, mwanamke mmoja Msamaria akafika kuteka maji. Yesu akamwambia, “Nipatie maji ninywe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Basi, mwanamke mmoja Msamaria akafika kuteka maji. Yesu akamwambia, “Nipatie maji ninywe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Mwanamke mmoja Msamaria alipokuja kuteka maji, Isa akamwambia, “Naomba maji ninywe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Mwanamke mmoja Msamaria akaja kuteka maji, Isa akamwambia, “Naomba maji ninywe.”

Tazama sura Nakili




Yohana 4:7
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtu aliye yote atakaemnywesha mmojawapo wa wadogo hawa kikombe cha maji ya baridi tu, kwa kuwa yu mwanafunzi, amin, nawaambieni, haitampotea kamwe thawabu yake.


Baada ya haya Yesu, akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizwa, andiko litimizwe, akasema, Nina kiu.


Yesu akajibu akamwambia, Kama ungaliijua karama ya Mungu, nae ni nani akuambiae, Nipe maji ninywe, ungalimwomba yeye, nae angalikupa maji yaliyo hayi.


Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo. Bassi Yesu, kwa sababu amechoka kwa safari yake, akaketi vivi hivi kisimani. Ilikuwa yapata saa sita.


Maana wanafunzi wake wamekwenda mjini wanunue chakula.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo