Yohana 4:52 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192152 Bassi akawauliza khabari ya saa alipoanza kuwa hajambo. Bassi wakamwamhia, Jana, saa saba, homa ilimwacha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Naye akawauliza saa mtoto alipopata nafuu; nao wakamwambia, “Jana saa saba mchana, homa ilimwacha.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Naye akawauliza saa mtoto alipopata nafuu; nao wakamwambia, “Jana saa saba mchana, homa ilimwacha.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Naye akawauliza saa mtoto alipopata nafuu; nao wakamwambia, “Jana saa saba mchana, homa ilimwacha.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Akawauliza saa ambayo alianza kupata nafuu. Wakamwambia, “Jana saa saba, ndipo homa iliisha.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Akawauliza saa ambayo alianza kupata nafuu. Wakamwambia, “Jana yapata saa saba, homa ilimwacha.” Tazama sura |