Yohana 4:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192151 Hatta alipokuwa akishuka, watumishi wake wakamlaki, wakampasha khabari, wakisema ya kama, Mtoto wako yu hayi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Alipokuwa bado yuko njiani, akakutana na watumishi wake, wakamwambia kwamba mwanawe yu mzima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Alipokuwa bado yuko njiani, akakutana na watumishi wake wakamwambia kwamba mwanawe yu mzima. Tazama sura |